• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yarekodi matukio 14 ya kukiuka usitishaji vita nchini Syria ndani ya siku moja

    (GMT+08:00) 2017-04-24 08:55:06

    Wizara ya ulinzi ya Russia imesema imerekodi matukio 14 ya kukiuka usitishaji vita nchini Syria ndani ya siku moja iliyopita. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo inasema Uturuki imerekodi matukio 26 ya ukuikaji wa usitishaji vita, lakini bado hayajathibitishwa na upande wa Russia. Russia na Uturuki ni wadhamini wa usitishaji vita ulioanza kutekelezwa Desemba 30 mwaka jana katika maeneo yote nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako