• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya dunia kuimarisha ushirikiano na AIIB

    (GMT+08:00) 2017-04-24 08:55:39

    Benki ya dunia na Benki ya uwekezaji wa miundombinu ya Asia AIIB zimesaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano kati yao. Kwa mujibu wa makubaliano hayo, benki hizo mbili zinatarajiwa kushirikiana kwenye maeneo ya utoaji mikopo ya maendeleo, mabadilishano ya wafanyakazi na kazi za uchambuzi. Taarifa iliyotolewa na benki ya dunia inasema makubaliano hayo ni msingi wa taasisi hizo mbili kuimarisha uratibu kwenye ngazi za kikanda na kitaifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako