• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester United yaitandika Burnely 2-0 EPL

    (GMT+08:00) 2017-04-24 09:02:58
    Manchester United ilijiongezea matumaini ya kuingia kundi la timu nne za kwanza baada ya kuwatandika Burnely 2-0. Wayne Rooney aliwafungia Manchester United likiwa ndilo bao lake la kwanza tangu mwezi Januari.

    Hata hivyo Andre Gray, alikuwa na fursa nzuri ya kuifungia Burnley katika kipindi cha kwanza wakati mkwaju wake ulipozuiwa na mlinzi Eric Bailly.

    Inamaana kuwa United inabaki nafasi ya tano katika Ligi kabla ya kukutana na hasimu wake Manchester City siku ya Alhamis. Burnley nao wameshinda mara moja katika mechi 11 wakiwa katika nafasi ya 15.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako