• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waandishi wa habari wa ndani na nje wa CRI waanza ziara mkoani Shan Xi

  (GMT+08:00) 2017-04-24 16:55:14

  Waandishi wa habari wa ndani na nje wa Radio China Kimataifa CRI wameanza ziara huko Xi'an, mji mkuu wa mkoa wa Shan Xi hii leo.

  Katika ziara hiyo ya siku 5, waandishi hao kutoka nchi 20 watatembelea sehemu mbalimbali mkoani humo na kutoa taarifa kuhusiana na jinsi mkoa huo unavyoshiriki katika pendekezo la "Ukanda Mmoja Njia Moja" na kujenga maeneo ya majaribio ya biashara huria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako