• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Tatizo la kiufundi katika kampuni ya mawasailiano ya Safaricom imeathiri Mamilioni ya wateja

    (GMT+08:00) 2017-04-24 19:34:37

    Mamilioni ya wateja wa Safaricom hii leo asubuhi wamepata shida ya kupiga simu baada ya kampuni ya mawasailiano ya Safaricom kukumbwa na shida za kiufundi.

    Tatizo hili la kiufundi limeathiri wateja wa matando huu nchi nzima na kampuni imehakikishia wateja wake kwamba inashughulikia shida hiyo.

    Takwimu kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya inaonyesha kwamba Safaricom ina wateja milioni 26.6 wanaotumia matandao huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako