• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatangaza vikwazo dhidi ya watafiti 271 wa Syria wanaohusika na silaha za kemikali

    (GMT+08:00) 2017-04-25 09:23:08

    Wizara ya fedha ya Marekani imewawekea vikwazo watafiti 271 wa serikali ya Syria wanaohusika na mpango wa silaha za kemikali nchini humo. Taarifa ya wizara hiyo inasema, watafiti hao wanaofanya kazi katika taasisi ya utafiti wa kisayansi ya Syria, inayowajibika kuendeleza silaha za kemikali watazuiliwa mali zao zilizoko nchini Marekani, na kupigiwa marufuku ya kuwa na uhusiano wa kibiashara na makampuni au raia wa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako