• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chansela wa Ujerumani akutana na waziri wa mambo ya nje wa China

  (GMT+08:00) 2017-04-26 09:48:13

  Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel amekutana na waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi ambaye yuko ziarani nchini humo kuhudhuria mazungumzo ya duru ya tatu kuhusu mikakati ya diplomasia na usalama kati ya China na Ujerumani. Kwenye mazungumzo yao, Bw. Wang Yi amesema huu ni mwaka wa 45 tangu China na Ujerumani zianzishe uhusiano wa kibalozi, na China ingependa kutumia fursa hii kusukuma mbele uhusiano kati ya nchi mbili ufikie ngazi mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako