• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bibi Liu Yandong ahudhuria ufunguzi wa mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya China na Afrika kusini

    (GMT+08:00) 2017-04-26 10:26:58

    Naibu waziri mkuu wa China Bibi Liu Yandong amehudhuria ufunguzi wa mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya China na Afrika kusini uliofanyika jana mjini Pretoria, Afrika Kusini. Akihutubia ufunguzi huo, Bibi Liu Yandong amesema, mazungumzo hayo yenye kauli mbiu ya "Kufundishana kati ya fikra ya Jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja na fikra ya Ubuntu", si kama tu yanaweza kuhimiza mabadilishano ya mawazo na maelewano kati ya China na Afrika, bali pia yatasaidia kufundishana kati ya ustaarabu wa China na Afrika, na kutafuta ufumbuzi mpya wa changamoto za kimaendeleo zinazoikabili dunia nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako