• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yazindua meli ya pili ya kubeba ndege za kivita

  (GMT+08:00) 2017-04-26 17:47:48

  China imezindua meli yake ya pili ya kubeba ndege za kivita leo asubuhi kwenye kiwanda cha kutengeneza meli cha Dalian, mkoani Liaoning, kaskazini mashariki mwa China.

  Hii ni meli ya pili ya kubeba ndege za kivita ya China baada ya Liaoning, meli ya aina hiyo iliyotengenezwa na Shirikisho la Urusi na kuanza kutumiwa na Jeshi la China mwaka 2012.

  Baada ya uzinduzi huo, meli hiyo itafanyiwa majaribio ya vifaa vyake, kusafiri na kutia nanga.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako