• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 91 wauawa katika mapambano kati ya makundi ya IS na Taliban

    (GMT+08:00) 2017-04-27 10:04:21

    Msemaji wa serikali ya mkoa wa Jowzjan, Afghanistan amesema waasi wa tawi la Kundi la IS nchini Afghanistan wamepambana na Kundi la Taliban Jumanne mkoani Jowzjan, kaskazini mwa nchi hiyo, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 91.

    Msemaji huyo amesema mapambano hayo yamesababisha vifo vya waasi 76 wa Kundi la Taliban, na wengine 56 kujeruhiwa, kwa upande wa Kundi la IS, waasi 15 wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa.

    Ameongeza kwamba mapambano hayo ya kugombea maeneo, bado hayajaisha hadi sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako