• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuimarisha ushirikiano na Ujerumani kwenye kundi la G20

  (GMT+08:00) 2017-04-27 14:10:39

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amesema China itaiunga mkono Ujerumani kwa pande zote kuandaa mkutano wa kilele wa kundi la G20 utakaofanyika mjini Hamburg, na pia inapenda kuimarisha ushirikiano na Ujerumani kwenye kundi hilo. Bw. Wang Yi aliyasema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari pamoja na mwenzake wa Ujerumani Bw Sigmar Gabriel. Bw. Wang Yi amesema mkutano wa kilele wa G20 wa Hamburg unaweza kurithi mafanikio yaliyopatikana kwenye mkutano wa G20 wa Hangzhou, China na kuendelea kuchangia ukuaji wa uchumi wa dunia katika siku zijazo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako