• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mafuta zaidi yapatikana Kenya

    (GMT+08:00) 2017-04-27 20:09:00

    Kampuni ya mafuta ya Tullow Oil imesema imegundua mafuta zaidi katika kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya.

    Ugunduzi mpya huo ni ishara kwamba kuna raslimali zaidi ya bidhaa hiyo kwenye eneo la Lokichar.

    Tullow imesema visima viwili walizochimba vina mafuta nagesi nchi lakini haikutaja nikiasi gani.

    Inakadiriwa kwamba eneo lote la Lokichar Kusini lina mapipa millioni 750 za mafuta.

    Kenya inatarajia kuanza mpango wa majaribio wa kuuza mafuta ikianzia na mapipa 60,000 ambayo tayari yako kwenye matanki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako