• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamanda wa Yemen auawa kwenye shambulizi la waasi wa Houthi

    (GMT+08:00) 2017-04-28 09:03:55

    Kamanda anayeunga mkono serikali ya Yemen kanali Abdullah al-Rashedi pamoja na askari 7 waliuawa jana kwenye shambulizi la kombora lililofanywa na wapiganaji wa Houthi katika mkoa wa Marib, kaskazini mashariki mwa Yemen. Shambulizi hilo lililolenga kituo cha jeshi la serikali kwenye wilaya ya Serwah, magharibi mwa mkoa wa Marib, pia lilijeruhi watu wengine 20, wengi wao wakiwa mahututi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako