• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abiria aliyeshushwa kwa nguvu kwenye ndege ya United Airlines ya Marekani afikia makubaliano na shirika hilo

    (GMT+08:00) 2017-04-28 09:04:31

    Abiria aliyeshushwa kwa kuburuzwa kutoka kwenye ndege ya United Airlines ya Marekani amefikia makubaliano ya utatuzi na shirika hilo. Wakili wa abiria huyo Bw. Thomas Demetrio amesema shirika la United Airlines limekubali kuwajibika kikamilifu na tukio hilo lililotokea Aprili 9, lakini hajadokeza kiasi cha fidia, ambacho hakitatangazwa kama ilivyokubaliwa na pande mbali. Polisi watatu wa uwanja wa ndege waliohusika kwenye tukio hilo wamesimamishwa kazi kwa ajili ya uchunguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako