• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eneo la ushuru wa pamoja la Afrika mashariki linapunguza gharama za biashara

    (GMT+08:00) 2017-04-28 09:29:36

    Eneo la ushuru wa pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki limetajwa kuwa limepunguza sana gharama za kufanya biashara kwenye eneo hilo.

    Akiongea na waandishi wa habari mjini Dar es salaam Mwenyekiti wa kamati ya forodha ya jumuiya ya Afrika Mashariki Bw Dickson Kateshumbwa amesema muda wa kupita forodhani umepungua kutoka siku 21 hadi kati ya siku 3 hadi 5. Amesema nchi sita wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki zinatekeleza miradi mbalimbali ya ushuru wa pamoja.

    Amesema mifumo ya kujiendesha imeweka kwenye forodha za nchi zote wanachama, huku ikiendelea kuboreshwa na kufanywa iwe ya kisasa zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako