• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani anapendelea kutatua suala la nyuklia la Korea Kaskazini kwa njia ya amani

    (GMT+08:00) 2017-04-28 17:50:52

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema anapendelea kutumia njia ya kiamani kutatua suala la Peninsula ya Korea, lakini alionya kuwa pambano kali linaweza kutokea kati ya Marekani na Korea Kaskazini.

    Akihojiwa na shirika la habari la Reuters, rais Trump amesema, Korea Kaskazini ni changamoto kubwa inayoikabili nchi yake, na kutatua suala hilo kwa njia ya kidiplomasia kunakabiliwa na matatizo mengi.

    Wakati huohuo, rais Trump ameisifu China kufanya juhudi kubwa katika kutatua suala hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako