• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Dunia inaiunga mkono Ghana katika utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2017-04-28 17:54:58

    Benki ya Dunia imesema itaziunga mkono jamii za Ghana katika utekelezaji wa mradi wa Kusimamia Maliasili.

    Katika taarifa iliyopokelewa kwenye ofisi za Benki hiyo nchini Ghana, Benki ya Dunia imesema jamii zilizochaguliwa katika mikoa ya Brong-Ahafo na magharibi mwa Ghana zitapata msaada wa dola za kimarekani milioni 5.5. Mradi huo umeandaliwa kuongeza uelewa na vitendo katika jamii hizo katika kupunguza ukataji miti na kuboresha usimamizi endelevu wa vitendo vyao. Pia unatarajiwa kuwafanya watu wa jamii hizo kudhibiti shinikizo linalotokana na mwanadamu na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako