• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China ahudhuria mkutano wa mawaziri wa suala la nyuklia la Peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2017-04-29 17:16:00

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alihudhuria Mkutano wa mawaziri wa suala la nyuklia la Peninsula ya Korea katika Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa huko New York.

    Akihutubia mkutano huo Bw. Wang amesema hivi karibuni hali ya wasiwasi ya Peninsula ya Korea imekuwa mbaya zaidi. China inazitaka pande zote zinazohusika zitekeleze kwa makini zaidi uamuzi unaohusika wa peninsula hiyo na kuliwezesha suala hilo litatuliwe kwa njia ya mazungumzo.

    Habari nyingine zinasema, jeshi la Korea ya Kusini limetangaza kuwa Korea ya Kaskazini ilirusha kombora moja kwa majaribio saa kumi na moja na nusu asubuhi kutoka Pyeongannam-do lakini kuna uwezekano kuwa kombora hili lililipuka angani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako