• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la kupunguza umaskini duniani lafanyika nchini Italia

    (GMT+08:00) 2017-04-30 16:42:23

    Kongamano la kupunguza umaskini duniani lilifanyika tarehe 28 Aprili katika Wizara ya mambo ya nje ya Italia, huko Rome, ambapo washiriki walijadiliana kuhusu uzoefu kuhusu kupunguza umaskini, na changamoto zinazokabili serikali, watungaji wa sera na watu wanaoshughulikia kazi ya kupunguza umaskini, pia wamepongeza uzoefu wa China katika sekta hiyo.

    Naibu mkurugenzi wa Kituo cha habari cha Mtandao wa Internet cha China Bw. Li Fugen akihutubia kongamano hilo alisema, ili kuhimiza upashanaji wa elimu zinazohusika, serikali ya China imeanzisha hazina ya takwimu kuhusu mifano ya kupunguza umaskini nchini na nje ya China, ili kujulisha mikakati, hatua, mifano ya China katika kupunguza umaskini, na kupeana uzoefu wa kimataifa katika sekta hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako