• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yarekodi matukio 15 ya kukiuka usitishaji vita nchini Syria katika saa 24 zilizopita

    (GMT+08:00) 2017-05-01 09:05:10

    Wizara ya ulinzi ya Russia imesema ilirekodi matukio 15 ya kukiuka usitishaji vita nchini Syria katika saa 24 zilizopita, 9 yakiwa yametokea katika jimbo la Damascus. Taarifa ya kila siku inayotolewa na wizara hiyo kwenye tovuti yake imesema, Uturuki pia imerekodi matukio 12 ya kukiuka usitishaji vita, lakini hayajathibitishwa na Russia. Russia na Uturuki ni wadhamini wa makubaliano ya kusimamisha vita kote nchini Syria yaliyoanza kutekeleza Desemba 30 mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako