• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Saudi Arabia yakamata wapiganaji 46 wa IS kwa kujihusisha na mashambulizi ya kigaidi

    (GMT+08:00) 2017-05-01 09:05:32

    Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imesema imewakamata wapiganaji 46 wa kundi la Islamic State kwa tuhuma za kujihusisha na mashambulizi ya mabomu dhidi ya msikiti mkuu mjini Medina majira ya joto mwaka wa jana. Wizara hiyo imesema washukiwa hao, ambao 32 ni raia wa Saudi Arabia, wengine 14 ni wageni kutoka Pakistan, Yemen, Afghanistan, Misri, Jordan na Sudan, wametiwa mbaroni huko Jeddah, mji wa bandari magharibi mwa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako