• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yaunga mkono uamuzi wa OPEC kupunguza uzalishaji wa mafuta

    (GMT+08:00) 2017-05-01 09:05:55
    Waziri wa mafuta wa Iran Bw Bijan Zanganeh amesema Iran itaunga mkono uamuzi wa Shirika la nchi zinazozalisha mafuta duniani OPEC kuhusu kurefusha makubaliano ya kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 1.2 kwa siku hadi nusu ya pili ya mwaka huu. Bw. Zanganeh alisema hayo baada ya kukutana na kamishna wa Ulaya masuala ya hali ya hewa na nishati Bw. Miguel Canete. Bw. Zanganeh pia amesema, makubaliano hayo yanasaidia kutuliza bei ya mafuta kwenye soko la kimataifa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako