• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wawili wauawa na wengine kujeruhiwa katika shambulizi la kibaguzi nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2017-05-01 18:26:49

    Watu wawili wameuawa na wengine saba kujeruhiwa jana jioni katika shambulizi la risasi linalohusiana na ubaguzi wa rangi katika eneo la makazi huko San Diego, Marekani.

    Watu waliouawa ni pamoja na mtu anayetuhumiwa kufanya shambulizi hilo na majeruhi wengi wana hali mbaya kutokana na shambulizi hilo.

    Mkuu wa Polisi wa San Diego Shelly Zimmerman amesema, mtu aliyefanya shambulizi hilo ni mwanamume wa kizungu aliyekuwa na bunduki aina ya machine gun, ambaye aliuawa kwa risasi na maaskari watatu waliofika kwenye eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako