• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump wa Marekani asema angependa kukutana na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un

    (GMT+08:00) 2017-05-02 09:17:33

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kama hali ikiruhusu, angependa kukutana na mwenzake wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-Un. Rais Trump alisema hayo alipohojiwa na shirika la habari la Bloomberg katika ikulu ya Marekani. Lakini msemaji wa Ikulu ya Marekani siku hiyo amesema, "kama hali ikiruhusu" inamaanisha mambo mengi, la kwanza ni Korea Kaskazini kusimamisha mara moja hatua za uchokozi. Amesisitiza kuwa kutokana na hali ya sasa, hakuna uwezekano wa kukutana kwa viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako