• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatoa tahadhari ya kusafiri barani Ulaya kutokana na tishio la kigaidi

    (GMT+08:00) 2017-05-02 09:17:56

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imetoa tahadhari ya kusafiri kwa raia wa Marekani barani Ulaya, kutokana na kuendelea kuwepo kwa hatari ya kutokea mashambulizi ya kigaidi. Kwenye tahadhari hiyo, wizara hiyo imesema matukio yaliyotokea hivi karibuni nchini Ufaransa, Russia, Sweden na Uingereza yameonesha kwamba makundi ya kigaidi yakiwemo Islamic State na Al-Qaida, yana uwezo wa kupanga na kutekeleza mashambulizi ya kigaidi kwenye maeneo ya utalii, vituo vya usafiri wa umma, masoko na maduka, na taasisi za kiserikali barani Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako