• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu15 wauawa kwa ajali ya basi Namibia

    (GMT+08:00) 2017-05-02 09:43:21

    Watu 15 wamefariki dunia baada ya basi dogo kugongana na gari ndogo ya mizigo kwenye eneo la kati kaskazini nchini Namibia.

    Ajali hiyo imetokea nje ya mji wa Otjiwarongo umbali wa kilomita 300 kutoka mji mkuu Windhoek.

    Polisi wamesema basi hilo liliteketea kwa moto baada ya ajali, na miili ya wahanga 10 pia imeteketea na kutoweza kutambuliwa. Watu watano waliokuwa kwenye gari dogo la mizigo walikufa papo hapo. Abiria wengine 14 wamenusurika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako