• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Ulaya zapata mafanikio kwenye ujenzi wa uwezo wa usalama wa nyukilia

    (GMT+08:00) 2017-05-02 19:06:48

    Shirika la nishati ya nyukilia la China leo na idara ya ushirikiano na maendeleo ya kamati ya Umoja wa Ulaya zilikutana hapa Beijing mwishoni mwa mwezi uliopita, ambapo zilitangaza mafanikio ya mradi wa ushirikiano kati yao kwenye kuimarisha uwezo wa nchi na mashirika katika kuhakikisha usalama wa nyukilia.

    Mradi huo utakaotekelezwa kwa miaka mitatu, unalenga kuimarisha msingi wa kiufundi na uwezo wa mashirika ya ushirikiano kwa mujibu wa vigezo vya kimataifa vinavyochukuliwa na Umoja wa Ulaya na uzoefu wa utendaji wake. Pia kuboresha mpango wa usalama wa nyukilia na ulinzi wa radiamu unaotekelezwa katika ujenzi wa miradi ya kuzalisha umeme kwa nishati ya nyukilia nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako