• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yataka Marekani na Korea Kaskazini zifanye uamuzi wa kisiasa haraka iwezekanavyo ili kuonesha udhati wao

    (GMT+08:00) 2017-05-02 19:07:28

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, Marekani na Korea Kaskazini zinapaswa kufanya uamuzi wa kisiasa ili kuonesha nia yao thabiti ya kutatua hali ya wasiwasi katika peninsula ya Korea.

    Bw. Geng Shuang amesema, China siku zote inaona kutatua suala la nyuklia la peninsula ya Korea kwa mazungumzo na kwa amani ni njia pekee ya kutimiza kutokuwa na silaha za nyuklia kwenye peninsula hiyo na kulinda amani na uvulivu wa peninsula hiyo.

    Pande husika zinapaswa kubeba majukumu yao na kushirikiana ili kutafuta njia ya kurudisha mazungumzo ya amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako