• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yahimiza Japan kufanya juhudi kutatua mgogoro wa peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2017-05-02 20:03:18

    Gazeti la Rodong Simun la Korea Kaskazini limetoa makala inayoihimiza Japan kufanya juhudi zaidi katika kutatua mgogoro wa peninsula ya Korea kwa njia ya amani.

    Makala hiyo inasema, Japan inaeneza uvumi kuwa peninsula ya Korea itakumbwa na mgogoro baada ya Marekani kurusha makombora dhidi ya Syria, na pia kuwa kabla ya meli ya Carel Vinson ya kubeba ndege za kivita ya Marekani kuingia bahari ya peninsula ya Korea, ilifanya zoezi la kijeshi pamoja na kikosi cha kujilinda cha Japan, na hii ni hatua isiyo ya kawaida ya kijeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako