• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu watano wakamatwa wakiwa na silaha nzito nchini Ufaransa

    (GMT+08:00) 2017-05-03 08:34:50

    Gazeti la Ufaransa Le Figaro limesema watu watano wamekamatwa wakiwa na silaha nzito kwenye operesheni ya kupambana na ugaidi iliyofanyika jana katika miji mitatu nchini Ufaransa. Operesheni hiyo imefanyika ikiwa ni sehemu ya uchunguzi wa awali ulioanzishwa na ofisi ya mwendesha mashtaka wa Paris tarehe 8 Machi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako