• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa nne kuhusu mgogoro wa Syria kufanyika nchini Kazakhstan

    (GMT+08:00) 2017-05-03 09:30:21

    Wizara ya mambo ya nje ya Kazakhstan imethibitisha kwamba, upande wa upinzani wa Syria utashiriki kwenye mkutano wa nne kuhusu mgogoro wa Syria utakaoanza leo mjini Astana.

    Mkutano huo pia utashirikisha wataalam kutoka Umoja wa Mataifa na nchi wadhamini, ujumbe wa Syria, Iran, Uturuki na Russia na mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Bw Staffan de Mistura.

    Habari zinasema, Marekani itashiriki kwenye mkutano huo kama nchi mwangalizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako