• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China asisitiza kuwaandaa wataalamu wa sheria wenye maadili na ujuzi

  (GMT+08:00) 2017-05-03 20:35:20

  Wakati siku ya vijana inapowadia, katibu mkuu wa chama cha kikomunisti cha China ambaye pia ni rais wa China, Xi Jinping leo asubuhi ametembelea Chuo Kikuu cha mambo ya siasa na sheria cha China.

  Rais Xi ametoa salamu za pongezi kwa vijana wa makabila mbalimbali, na kutoa salamu za dhati kwa wafanyakazi wa sekta ya elimu, mambo ya vijana na sheria kote nchini. Rais Xi amesisitiza kuwa ni jukumu muhimu la kihistoria kuhimiza kwa pande zote usimamizi wa taifa kwa kufuata sheria. Amesema inapaswa kushikilia njia ya sheria ya ujamaa wenye umaalumu wa China, kufuata wazo la sheria la uMarxism, na kuwaandaa wataalamu wenye maadili na ujuzi zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako