• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AfDB yapanga kutoa dola bilioni 1.1 kwa nchi 5 za Afrika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2017-05-04 09:31:20

    Mkurugenzi wa Benki ya maendeleo ya Afrika AfDB Bw. Akinwumi Adesina amesema benki hiyo inatafuta idhini ya bodi yake kutoa dola bilioni 1.1 za kimarekani kwa Nigeria, Afrika Kusini, Kenya, Ethiopia na Somalia, ili kuzisaidia kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Bw. Adesina amesema fedha hizo zitatumika kupambana na ukame unaotokana na mabadiliko ya hali ya hewa, ili kuzuia njaa isitokee katika nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako