• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israeli yakata bajeti kwa Umoja wa Mataifa kutokana na kupitishwa kwa azimio la UNESCO

    (GMT+08:00) 2017-05-04 09:32:32

    Israel imesema itapunguza bajeti ya dola milioni moja kwa ajili ya Umoja wa mataifa, kutokana na kupitishwa kwa azimio la UNESCO linaloikosoa Israel kuendelea na uchimbuaji wa vitu vya kale kwenye mji mkongwe mashariki mwa Jerusalem, ardhi ambayo Israel iliitwaa kutoka kwa Jordan kwenye vita ya mwaka 1967. Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani azimio hilo na kulitaja kama "lisilo na mwelekeo" kwenye mkutano wa Baraza la mawaziri uliofanyika jana. Israel pia ilimwita Balozi wa Sweden kuilalamikia Sweden kulipigia kura ya ndio azimio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako