• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Ethiopia lapitisha makubaliano ya kubadilishana wahalifu na China

    (GMT+08:00) 2017-05-04 09:44:52

    Bunge la Ethiopia limepitisha kwa kauli moja makubaliano kuhusu kubadilishana wahalifu na China.

    Ofisa wa kamati ya kudumu ya bunge la Ethiopia anayeshughulikia mambo ya sheria na utawala Bw Petros Woldesenbet amesema hatua hiyo itasaidia juhudi zake za kuleta utulivu na utekelezaji wa amani wa mchakato wa kimahakama.

    Mbali na makubaliano hayo, bunge pia limepitisha makubaliano ya ushirikiano mpana na China kwenye mambo ya biashara. Makubaliano hayo yatasaidia pande mbili kupambana na biashara haramu na bidhaa zinazoingizwa kinyume cha sheria. Pia yanatarajiwa kuweka mazingira yanayofaa ya ushirikiano wa kibiashara wa kuwanufaisha watu wa pande hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako