• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Bandari ya nchi kavu kujengwa Arusha.

    (GMT+08:00) 2017-05-04 19:03:44

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw Mrisho Gambo amesema kwamba serikali ya Kitaifa itajenga bandari ya nchi kavu mkoani humo.

    Gambo amesema Bandari hiyo itasaidia pakubwa kurahisisha usafirishaji wa mizigo haswa malighafi za viwanda na bidhaa zingine, jambo litakalochangia ukuaji wa uchumi wa mkoa wa Arusha. Zaidi ya ekari 500 zimetengwa kando ili kufanikisha shughuli hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako