• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini: KCB kufunga matawi yake kwa sababu ya utovu wa usalam

    (GMT+08:00) 2017-05-04 19:04:06

    Benki kubwa zaidi Afrika Mashariki KCB, ina mipango ya kufunga matawi yake nchini Sudan Kusini kwa sababu ya ukosefu wa usalama na mfumuko wa bei ulioathiri utendakazi wa benki hii.

    KCB ina matawi 19 Sudan Kusini na kufungwa kwake kutaathiri wafanyikazi wengi sana. Mfumuko wa bei Sudan Kusini ulipanda kwa asilimi 830 mwisho wa mwaka jana, huku pouni ya Sudan Kusini ikishuka thamani yake ikilinganishwa na dola ya marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako