• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Mamlaka ya Uwekezaji yawasihi wafanyikazi kutia bidii kazini.

    (GMT+08:00) 2017-05-04 19:04:26

    Wafanyikazi wa taifa la Ugandan wanahitaji kujituma zaidi na kutia bidii kazini ili kuwavutia wawekezaji. Huu ndio wito wa mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji Uganda Jolly Kaguhangire alipotangamana na wasimamizi na wafanyikazi wa kiwanda cha nguo cha San Belt Textiles Limited mjini Jinja. Kiwanda hiki kilifunguliwa rasmi siku ya Jumatatu na Rais Yoweri Museveni.

    Bi Kaguhangire alisema kwamba kando na sheria za utendakazi, mambo mengine muhimu yanayowavutia wawekezaji ni bidii ya wafanyikazi na faida kwenye biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako