• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapinga kithabiti vitendo vyote vinavyoingilia mambo ya ndani ya Hongkong

    (GMT+08:00) 2017-05-04 19:55:50

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, katika miaka 20 iliyopita tangu Hong Kong irudi China, sera ya "nchi moja mifumo miwili", na "watu wa Hong Kong kujiamulia mambo" zimetekelezwa kwa hatua halisi.

    Bw. Geng Shuang amesema hayo kutokana na lawama zilizotolewa kuhusu utekelezaji wa sera ya "nchi moja mifumo miwili" katika Mkutano ulioandaliwa na "Kamati ya mambo ya China ya bunge na idara ya mambo ya utawala" ya Marekani.

    Bw. Geng Shuang amesisitiza kuwa, mkutano huo umeingilia mambo ya ndani ya China, jambo linalopingwa vikali na China. Amesema kuwa kamati hiyo siku zote inachukua msimamo wa ubaguzi katika mambo yanayohusu China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako