• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la chini la Bunge la Marekani lapitisha mswada wa kufuta Obamacare

    (GMT+08:00) 2017-05-05 08:55:46

    Baraza la chini la Bunge la Marekani limeupigia kura na kupitisha mswada wa kufuta na kubadilisha sehemu muhimu za sheria ya huduma za afya ya Obamacare. Kupitishwa kwa mswada huo ni mafanikio muhimu kwa rais Donald Trump ambaye alishindwa kupitisha miswada yoyote bungeni katika siku 100 tangu aingie madarakani, na pia ni hatua kubwa kwa wanachama wa Republican walioahidi kuondoa sheria hiyo maarufu iliyotolewa mwaka 2010 na serikali iliyopita ya Barack Obama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako