• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la serikali ya Iraq laingia magharibi mwa Mosul kutoka upande wa Kaskazini

    (GMT+08:00) 2017-05-05 08:56:31

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa vikosi vyake vimefanikiwa kuingia kwenye maeneo ya magharibi mwa mji wa Mosul kutoka upande wa kaskazini, hatua inayoimarisha kuwazingira wapiganaji wa kundi la Islamic State mjini humo. Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo inasema hii ni mara ya kwanza kwake kuanzisha mashambulizi kutoka upande wa Kaskazini, tangu operesheni ya kukomboa maeneo ya magharibi mwa Mosul ianze Februari 19. Taarifa inasema vikosi vyake vimedhibiti mitaa kadhaa na kiwanda kimoja cha kusafisha maji kwenye sehemu ya magharibi mwa Mosul.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako