• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la usalama laihimiza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ifanye uchaguzi wa urais kwa mpango uliowekwa

    (GMT+08:00) 2017-05-05 19:23:15

    Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa jana lilitoa taarifa likiihimiza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo iunde mapema serikali ya umoja, na kupitisha sheria ya uchaguzi, ili kuhakikisha uchaguzi wa rais unafanyika mwezi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mpango uliowekwa awali.

    Baraza la usalama limezitaka pande mbalimbali kuweka kipaumbele maslahi ya wananchi, na kutatua masuala kupitia sheria na mazungumzo, na pia kuepusha matumizi ya nguvu za kimabavu na vitendo vyovyote vinavyoweza kuzidisha hali ya wasiwasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako