• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Mei-7 Mei)

    (GMT+08:00) 2017-05-05 20:15:44

    Mwanajeshi ajipiga picha katika mlipuko

    Mwanjeshi mmoja wa Marekani amejipiga picha wakati wa mlipuko kwenye zoezi la kijeshi Marekani.

    Mwanjeshi huyo alikuwa na wenzake wanne waliuawa katika mlipuko imetolewa na jeshi la Marekani.

    Hilda Clayton mwenye umri wa miaka 22 na wanajeshi wanne wa Afghanistan waliuawa wakati bomu lilipolipuka wakati wa zoezi la kijeshi mnamo tarehe 2 mwezi Juali 2013.

    Jeshi la Marekani pia lilitoa picha ya mwanajeshi wa kike wa Afghanistan ambaye mtaalam Clayton alikuwa akijifunza naye kupiga picha .


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako