• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Mei-7 Mei)

    (GMT+08:00) 2017-05-05 20:15:44
     

    Mawaziri wakutana Kigali kujadili Umoj wa Afrika

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Afrika wanatarajiwa kukutana Jumapili mjini Kigali Rwanda, kujadili utekelezaji wa mageuzi ya Umoja wa Afrika.

    Kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwezi Julai mwaka jana mjini Kigali, nchi wanachama wa Umoja huo walimkabidhi rais Paul Kagame wa Rwanda jukumu la kuongoza mageuzi ya umoja huo, ili kuuwezesha utimize malengo yake na kuhudumia kihalisi watu wa Afrika.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako