• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 32 wafariki katika ajali ya barabarani nchini Tanzania

  (GMT+08:00) 2017-05-06 20:59:03

  Wanafunzi 29 wa shule ya Lucky Vincent wamefariki katika ajali ya barabarani wakielekea mjini Karatu nchini Tanzania kwa ziara ya kimasomo.

  Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kwamba ni watoto walimu 2 na dereva wa basi hilo la shule wamefariki pia.

  Uendeshaji wa kasi na mvua zimetajwa kuwa sababu za ajali hiyo ya mapema Jumamosi.

  Wanafunzi na waalimu hao walikuwa safarini kuelekea Karatu shule ya Tumaini English Medium Junior Schools kufanya mtihani wa majaribio ya kujipima uwezo kabla ya kufanya mtihani wa taifa wa darasa la saba.

   

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako