• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Upigaji kura waanza katika raundi ya pili ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa

    (GMT+08:00) 2017-05-07 17:23:57

    Upigaji kura umeanza katika raundi ya pili katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa kati ya mgombea wa siasa za mrengo wa kati Emmanuel Macron na mpinzani wake wa siasa kali za mrengo wa kulia, Marine Le Pen.

    Zaidi ya vituo vya kupigia kura 66,000 katika bara la Ulaya nchini Ufaransa vilifunguliwa leo saa 2 asubuhi kwa saa za huko na kupangwa kufungwa saa 2 usiku katika miji mikubwa na saa 1 usiku katika miji mingine. Wapiga kura wapatao milioni 47 wanatarajiwa kushiriki kwenye zoezi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako