• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wasichana 82 waachiliwa na wapiganaji wa Boko Haram

  (GMT+08:00) 2017-05-07 17:29:46

  Wasichana 82 wa Chibok wameachiliwa na wapiganaji wa Boko Haram na wanatarajiwa kupokelewa na Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria.

  Msemaji wa rais bwana Mallam Garba amesema kwa taarifa kwamba wasichana hao wamebadilishwa na wafungwa waliokuwa wanazuiliwa na serikali.

  Bado Wasichana wengine 100 wanashikilka na Boko Haram tangu walipotekwa mwaka 2014.

  Serikali imekuwa ikijadiliana na wapiganaji hao ili wabadilishane wafungwa na wasichana hao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako