• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Russia asema NATO inajaribu kurejesha mazungumzo na Russia

    (GMT+08:00) 2017-05-08 09:02:13

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergey Lavrov amesema Jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi NATO inajaribu kurejesha mazungumzo na Russia, na Russia iko tayari kwa mawasiliano na jumuiya hiyo. Lakini Bw. Lavrov amesisitiza kuwa Russia itakubali kufanya mazungumzo na NATO kwenye msingi wa usawa na kuheshimiana, na pande hizo mbili zitajadili masuala zinazofuatilia kwa pamoja, na sio matatizo yanayohitaji kutatuliwa na upande wa NATO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako