• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yamtia mbaroni raia mwingine wa Marekani kwa vitendo vya kiadui

    (GMT+08:00) 2017-05-08 09:02:33

    Korea Kaskazini imesema imemtia mbaroni raia mwingine wa Marekani kwa tuhuma za kuhusika vitendo vya uhasama dhidi ya mamlaka ya nchi hiyo. Shirika la habari la Korea Kaskazini limesema mwanamume huyo, anayeitwa Kim Hak Song alikamatwa Jumamosi kwa mujibu wa sheria ya mienendo ya kiadui. Hii ni mara ya pili ndani ya mwezi mmoja kwa Korea Kaskazini kumkamata raia wa Marekani kwa tuhuma za kutenda vitendo vya kiadui dhidi ya nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako