• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 21 wafariki katika mashambulizi dhidi ya mabasi Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2017-05-08 10:05:26

    Ofisa wa Sudan Kusini amethibitisha kuwa, Watu 21 waliuawa na wengine 25 walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya mabasi waliyokuwa wakisafiria kushambuliwa Ijumaa na watu wenye silaha, yakiwa njiani kutoka Juba kuelekea Bor.

    Ofisi ya habari ya jimbo la July imesema, magari hayo mawili yalisimamishwa na kushambuliwa kwa risasi kwenye kituo cha ukaguzi kisichotumika.

    Hivi sasa uchunguzi kuhusu shambulizi hilo unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako